logo

NOW ON AIR

Listen in Live

(Picha) Dubai yaandaa Maonyesho ya Utalii jijini Nairobi

Washiriki watakuwa na nafasi ya kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa Dubai.

image
na Radio Jambo

Habari22 September 2022 - 11:16

Muhtasari


•Wadau kadhaa kutoka Dubai kwa sasa wanahudhuria hafla ya Idara ya Uchumi na Utalii ya Dubai katika hoteli ya MovenPick jijini Nairobi.

Mawakala wa usafiri kutoka Kenya wakiwa katika hafla ya Utalii ya Dubai mnamo Septemba 22.

Wadau kadhaa kutoka Dubai kwa sasa wanahudhuria hafla ya Idara ya Uchumi na Utalii ya Dubai katika hoteli ya MovenPick jijini Nairobi.

Mawakala wa usafiri kutoka Kenya wakiwa katika hoteli ya MovenPick jijini Nairobi

Meneja wa Kanda Stela alisema kuwa wadau hao wapo nchini kwa ajili ya kuonyesha ofa walizonazo kwa wasafiri wa Afrika Mashariki.

wakati wa hafla ya utalii ya Dubai.

Hafla hiyo kawaida hufanyika kila mwaka kwa miaka mitano iliyopita.

"Kwa sababu ya janga la Covid-19, tulilazimika kuchukua mapumziko mwaka wa 2020 na kupanga upya," meneja wa konda alisema.

wakati wa hafla ya utalii ya Dubai jijini Nairobi.

Siku ya leo, Alhamisi, washiriki watakuwa na nafasi ya kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa Dubai.

wakati hotuba yake
 

Zawadi hizo ni pamoja na safari iliyolipiwa kikamilifu ya kwenda Dubai.

wakati wa hotuba yake

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved