logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Kenya Power: Kaunti tisa kukosa huduma za umeme leo

Kaunti tisa zitakabiliwa na kukatizwa kwa umeme leo hili kuwezesha kutengenezwa mitandao ya umeme

image
na Davis Ojiambo

Habari14 May 2024 - 06:30

Muhtasari


  • •Haya yanaripotiwa hili kuwezesha kutengenezwa kwa mtandao ya umeme katika maeneo yote yaliyoathirika na mvua kubwa ambayo ilisababisha uharibifu nchini.

Kaunti tisa zitaathiriwa na kukatizwa kwa umeme leo (Jumanne, Mei 14), Kenya Power yatangaza kupitia mtandao wa X.

Haya yanaripotiwa hili kuwezesha kutengenezwa kwa mtandao ya umeme katika maeneo yote yaliyoathirika na mvua kubwa ambayo ilisababisha uharibifu nchini.

Katika Kaunti ya Nairobi, eneo kubwa la Buruburu umeme utakatizwa kuanzia saa tisa asubuhi hadi saa kumi na moja jioni. Maeneo mahususi ni pamoja na; Sehemu ya Kimathi Est, Jerusalem, Jericho, Metro Villas, Harambee Est, Uhuru Est, Sehemu ya Buru Ph1, Buruburu Pri & adjacent customers.

Kaunti zingine ni pamoja na Nandi county, Siaya, Tana river, Lamu, Uasin Gishu, Kilifi, Kisii na Nyeri.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved