Rais William Ruto amewateua mawaziri 11 wa baraza la mawaziri kwa serikali yake huku wengine wa mawaziri wakiteuliwa tena.
Tazama Orodha ya mawaziri walioteuliwa tena;
Kithure Kindiki - mambo ya ndani na utawala wa kitaifa
Aden Duale - Ulinzi
Alice Wahome - ardhi
Davis Chirchir - barabara
Soipan Tuya -Mazingira
Rebecca Miano-Mwanasheria mkuu