logo

NOW ON AIR

Listen in Live

(Picha) Abdulswamad Nassir aapishwa gavana wa Mombasa

Nassir anachukuwa nafasi ya Hassan Joho ambaye muda wake wa kuhudumu umekwisha.

image
na Radio Jambo

Habari15 September 2022 - 08:39

Muhtasari


• Abdulswamad Nassir ameapishwa rasmi kuwa gavana wa Mombasa.

Abdulswamad Nassir akiapishwa kuwa gavana wa Mombasa. 15/9/2022.

Abdulswamad Nassir ameapishwa rasmi kuwa gavana wa Mombasa kuchukuwa nafasi ya Hassan Joho ambaye muda wake wa kuhudumu umekwisha.

Naibu Gavana wa Mombasa Francis Foleni Thoya ( Kushoto) na Gavana Abdulswamad Nassir

Nassir sasa ni gavana wa pili wa kaunti ya Mombasa, gavana wa kwanza Hassan Joho alihudumu kwa kipindi cha miaka 10. 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved