logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mwanafunzi wa darasa la nane afariki kwa kujitia kitanzi

Mwalimu ulipatikana katika ukining'inia kwa kamba karibu na shule yake.

image
na Davis Ojiambo

Habari13 September 2023 - 14:40

Muhtasari


  • •Mwanafunzi huyo alikuwa ameondoka nyumbani siku ya Jumanne , lakini mamake alimpata saa moja baadaye.

Mwanafunzi wa darasa la nane afariki katika tukio linaloaminika kuwa la kujitia kitanzi ndani ya kanisani huko Homa Bay.

Polisi katika eneo la Rachuonyo Mashariki, Kaunti ya Homa Bay wanachunguza  kisa ambapo mwili wa msichana wa miaka 16 ulipatikana katika kanisa moja katika kijiji cha Ogenga ukining'inia kwa kamba karibu na shule yake.

Kulingana na naibu chifu wa eneo la Kasewe, Dickson Samba, mwanafunzi huyo aliondoka nyumbani siku ya Jumanne , lakini mamake alimpata saa moja baadaye.

Bado haijabainika nini kilichochea msichana huyo kujiua, polisi wameanzisha uchunguzi. 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved