Paul Mackenzie amepatikana na hatia ya kumiliki na kusambaza filamu ambazo hazijaainishwa na kuendesha studio ya kurekodia bila kuwa na leseni halali ya kurekodi filamu.
Mwendesha mashtaka Joseph Mwangi alithibitisha kesi hiyo siku ya Ijumaa..
Mahakama pia iliamuru kwamba ripoti ya mapema ya hukumu iwasilishwe na Huduma ya Uangalizi na Huduma za Baadaye ili kunasa hisia za mlalamishi, ambaye ni Mwendesha Mashtaka.
Kesi hiyo itatajwa Desemba 1.
zaidi yatafuata...