Tazama : Seneti yaamua hatma ya gavana Kawira Mwangaza

Bunge la kaunti ya Meru lilipiga kura ya kumng’atua mamlakani gavana Kawira Mwangaza.