Ahadi za Raila akichaguliwa mwenyekiti wa AUC

Rais William Ruto Jumanne alizindua rasmi Kampeni za Raila kuania uwenyekiti wa AUC.

Muhtasari

• Kuhakikisha Afrika inapata manufaa ya mali ghafi.

• Kuhakikisha Afrika inajitegemea kiuchumi.

• Kuimarisha biashara miongoni mwa nchi za Afrika.

Image: ROSA MUMANYI