WAKENYA UGHAIBUNI

Mwanasoka wa Kenya ajiunga na Arsenal

Ben Messo, 8, amejiunga na shule ya kufunza kandanda ya Arsenal mjini London

Ben Messo na babake
Ben Messo na babake
Image: Hisani

Mwanasoka mmoja Mkenya mwenye umri wa miaka nane amejiunga shule ya kufunza kandanda ya Arsenal nchini Uingereza.

Ben Messo aliyeandamana na babake Eugene Messo alitia saini mkataba na kilabu hicho siku ya Jumanne. Messo aliweza kukutana na mchezaji wa kitambo wa klabu hiyo na ambaye ndiye kocha wa shule hiyo ya kandanda, Per Mertasaker na baadhi ya wanafunzi wengine wa soka.

Hizi hapa picha za Messo akiwa shukeni humo