logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Oscar Aondoka Uchina Baada Ya Kujikusanyika Ksh 28.9Bn Katika Kipindi Cha Miaka 7

Alijiunga na Shanghai Januari 2017, huku klabu hiyo ikilipa Chelsea pauni milioni 60 kwa huduma yake kabla ya kumpa mshahara wa pauni 400,000 kwa wiki.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Michezo07 December 2024 - 07:46

Muhtasari


  • Alijiunga na Shanghai Januari 2017, huku klabu hiyo ikilipa Chelsea pauni milioni 60 kwa huduma yake kabla ya kumpa mshahara wa pauni 400,000 kwa wiki.
  • Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 amepata karibu pauni milioni 175 za mshahara tangu wakati huo, na kukaa kwa karibu miaka minane katika jiji la Uchina.
  • Kiasi hiki ni sawa na takribani shilingi za Kenya bilioni 28.898.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved