logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mikel Arteta: “Inashangaza SANA Kwamba Hatukushinda Dhidi Ya Man United!”

"Naipenda timu yetu na napenda jinsi walivyo wazuri na wanachofanya kwa sababu katika michezo 1000, unapaswa kupoteza mchezo mmoja na pengine ulikuwa huu.”

image
na MOSES SAGWEjournalist

Michezo13 January 2025 - 10:43

Muhtasari


  • "Ni mpira wa miguu na ni sehemu ya utekelezaji huo, unahitaji mambo yaende utakavyo na usiku wa leo haikufanyika."
  • "Unapoenda kwenye mikwaju ya penalti unajua kuwa ni sarafu moja na inaweza kwenda upande wowote."

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved