logo

NOW ON AIR

Listen in Live

PICHA: Wafahamu Wachezaji wa Harambee Stars Walio Tayari Kutwaa Kombe la CHAN

Harambee Stars itafungua kampeni dhidi ya DRC Congo mnamo Agosti 3 ugani Kasarani.

image
na Tony Mballa

Michezo22 July 2025 - 14:44

Muhtasari


  • Harambee Stars Yaongeza Kiwango cha Mazoezi kwa Ajili ya Mashindano ya CHAN Mwezi Agosti
  • Timu ya taifa ya soka, Harambee Stars, imeongeza kasi ya mazoezi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), yatakayoanza mwezi Agosti.
  • Wachezaji wamekuwa wakifanya mazoezi kwa nidhamu ya hali ya juu huku benchi la kiufundi likilenga kuimarisha utimamu wa mwili, mbinu za kiufundi na mshikamano wa kikosi kabla ya kuanza kwa mashindano hayo muhimu ya bara Afrika.
Ben Stanley anayeichezea klabu ya Gor Mahia/FKF

Marvin Nabwire anayeichezea klabu ya Kenya Police/FKF

Farouk Shikalo anayeichezea klabu ya Bandari/FKF

Nahodha Abud Omar anayeichezea klabu ya Kenya Police/FKF

Michael Kibwage anayeichezea klabu ya Tusker/FKF

Kevin Okumu anayeichezea klabu ya AFC Leopards/FKF

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved