logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Ni Mambo yepi hufai kumficha mwenzio katika uhusiano ama ndoa?#Podiyayusfjuma

Katika podi hii sikiliza kuhusu jinsi baadhi ya watu huamua kuficha baadhi ya mambo waliofanya ya kale ambayo baadaye huwafuata katika uhusiano mpya na kuleta matatizo

image
na Yusuf Juma

Podi04 February 2021 - 06:08

Muhtasari


  • Katika podi hii sikiliza kuhusu jinsi baadhi ya watu huamua kuficha baadhi ya mambo waliofanya ya kale ambayo baadaye huwafuata katika uhusiano mpya na kuleta matatizo 
  • Kuna wanawake kwa mfano ambao huficha kwamba walikuwa na watoto kabla ya ndoa ama uhusiano au wanaume wanaoficha kwamba waliwahi kuwa na mke

Kabla ya kuanza uhusiano ama kujiingiza katika ndoa unafaa kujua vi vitu gani kuhusu kaisha yako ya hapo mbeleni ambavyo hufai kumfiocha mwenzako ili usije ukajipata katika mgogoro mkubwa baadaye .

Katika podi hii sikiliza kuhusu jinsi baadhi ya watu huamua kuficha baadhi ya mambo waliofanya ya kale ambayo baadaye huwafuata katika uhusiano mpya na kuleta matatizo . Kuna wanawake kwa mfano ambao huficha kwamba walikuwa na watoto kabla ya ndoa ama uhusiano au wanaume wanaoficha kwamba waliwahi kuwa na mke


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved