logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Ndoa zinazoanza kimzaha ndizo zinazokatika kighafla fahamu mengi tunayokosea#PodiyaYusufJuma

Iwapo hutaambiwa kutafuta nyumba kubwa ili muanze kuishi pamoja ,basi utapata mimba kisha iwe ni lazima muishi pamoja mumlee mtoto wenu

image
na Yusuf Juma

Podi15 February 2021 - 05:00

Muhtasari


  • Iwapo hutaambiwa kutafuta nyumba kubwa ili muanze kuishi pamoja ,basi utapata mimba kisha iwe ni lazima muishi pamoja mumlee mtoto wenu
  • Katika podi hii tunakupa uhondo wote wa kinachofanyika na kizazi hiki kuhusu ndoa na mahusiano.

Katika enzi hii ,yamkini ndoa hazina mpango wala mpangilio na zinafanyika baada ya hali kuwalazimu wahusika .Iwapo hutaambiwa kutafuta nyumba kubwa ili muanze kuishi pamoja ,basi utapata mimba kisha iwe ni lazima muishi pamoja mumlee mtoto wenu .

 

Wengi wanaanza maisha ya ndoa katika hali kama hizi na baadaye panazuka mengi matatizo na kusababisha talaka nyingi tu . Je,Kuna tatizo gani katika kizazi hiki ambalo linafanya kuwa vigumu kwa ndoa za wengi kudumu?Katika podi hii tunakupa uhondo wote wa kinachofanyika na kizazi hiki kuhusu ndoa na mahusiano.

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved