logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Je, Wakati umefika wa wanawake pia kuanza kulipa mahari?#PodiyaYusufJuma

Hata hivyo visa ni vingi tu kuwahusu watu ambao walionekana kuonewa kuhusu kiasi cha mahari iliyoitishwa na jamaa za wenzao wa kike.

image
na Yusuf Juma

Podi17 February 2021 - 05:00

Muhtasari


  • Hata hivyo visa ni vingi tu kuwahusu watu ambao walionekana kuonewa kuhusu kiasi cha mahari iliyoitishwa na jamaa za wenzao wa kike.
  • Ama je,wanawakepia wanaweza kuanza kuwalipa wanaume mahari?
  •  

Ulipaji mahari ni mjadlaambao umezua hsia mbalimbali na ni utamaduni wa tangu jadi katika jamii za kiafrika .Hata hivyo visa ni vingi tu kuwahusu watu ambao walionekana kuonewa kuhusu kiasi cha mahari iliyoitishwa na jamaa za wenzao wa kike.

Kunacho kisa cha mwanamme mmoja aliyeamua kukwepa kutoka sherehe ya kulipamahari na kuwaacha wanyeji wake hoi wasijue amekwenda wapi kumbe hakufurahia pesa walizokuwa wakiitisha .

 

Katika Podi hii mimi na mwenzake Mutala Mukosia tunajadili iwapo wakati umewadia kwa wazazi wa pande zote mbili wanafaa kujukumika katika kuchangia ulipaji wa mahari.Ama je,wanawakepia wanaweza kuanza kuwalipa wanaume mahari?

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved