Kuna njia nyingi za gharama ya chini ambazo unaweza kusherehea krisimasi mwaka huu wa Corona .Tayari imefahamika kwamba kuna hatari ya kusafiri kwa ajili ya uwezekano wa kuambukizwa amaba kusambaza virusi vya corona .
Kuna wengi ambao huenda hilo likawazuia kusafiri sehemu moja hadi nyingine .Katika Podi hii tunakueleza njia nyingine rahisi za kuweza kusheehekea krismasi mwaka huu bila kugharamika sana