Tume ya uchaguzi nchini (IEBC) inaendelea na zoezi la kuthibitisha fomu za 34B zenye matokeo ya uchaguzi wa urais. Tume hiyo inatarajiwa kuthibitisha fomu zote kutoka jumla ya maeneo bunge 290.
Haya ni matokeo ya urais kutoka maeneo bunge kulingana na takwimu za IEBC .
1. Eneo bunge la Webuye East
Raila: 13, 720
Ruto: 16, 412
Waihiga: 110
Wajackoyah: 249
Registered voters: 48,950
Valid votes: 30,491
Kura zilizokataliwa: 384
2. Eneo bunge la Kangundo
Raila: 29,808
Ruto: 8,405
Waihiga: 93
Wajackoyah: 365
Registered voters: 60, 796
Valid votes: 38, 671.
Kura zilizokataliwa: 330
3. Eneo bunge la Baringo Central
Raila: 1,656
Ruto: 33, 162
Waihiga: 62
Wajackoyah: 26
Registered voters: 45, 949
Valid votes: 34, 906
Kura zilizokataliwa: 168
4.Eneo bunge la Ol-Jorok
Raila: 7,579
Ruto: 31,982
Waihiga: 140
Wajackoyah: 166
Registered voters: 60,199
Valid votes: 39,867
Kura zilizokataliwa: 296
5. Eneo bunge la Lamu East
Raila: 9564
Ruto: 4639
Waihiga: 48
Wajackoyah: 452
Registered voters: 22,047
Valid votes: 14,703
Kura zilizokataliwa: 436
6. Eneo bunge la Kathiani
Raila: 30,984
Ruto: 6,624
Waihiga: 91
Wajackoyah: 300
Registered voters: 60,224
Valid votes: 37,999
Kura zilizokataliwa: 260
7. Eneo bunge la Gatundu South
WSR-: 41712
RAO-: 12290
WAJ-: 311
MWAURE -: 223
Kura zilizokataliwa - 475
8. Eneo bunge la NDIA
WSR-: 41293
RAO-: 6872
WAJ-: 232
MWAURE -: 151
9. Eneo bunge la AINABKOI
WSR-: 35401
RAO-: 8620
WAJ-: 90
MWAURE -: 50
10. Eneo bunge la YATTA
WSR-: 10391
RAO-: 38225
WAJ-: 325
MWAURE -: 121
Kura zilizokataliwa - 42
11. Eneo bunge la Moiben
Raila: 6,772
Ruto: 49,625
Wahiga: 54
Wajackoyah: 51
Wapiga kura waliojiandikisha: 77,877
Kura halali: 56502
Kura zilizokataliwa: 345
12. Eneo bunge la Nandi Hills
Raila: 3471
Ruto: 38,308
Wahiga: 40
Wajackoyah: 45
Wapiga kura waliojiandikisha: 47,910
Kura halali: 56502
Kura zilizokataliwa: 229
13. Eneo bunge la Kaiti
Raila:33,617
Ruto: 7,659
Wahiga: 95
Wajackoya: 272
Waliosajiliwa: 65,188
Inatumika: 41,643
Kura zilizokataliwa: 228
14. Eneo bunge la Gilgil
Raila: 20,997
Ruto: 39,205
Waihiga: 246
Wajackoya: 275
Waliosajiliwa: 95,645
Inatumika: 60,743
Kura zilizokataliwa: 609
15. Eneo Bunge la Kipkelion Mashariki
Raila: 3,303
Ruto: 43,898
Wahiga: 33
Wajackoyah: 43
Waliosajiliwa: 63,679
Halali: 47,227
Kataa: 248
16. Eneo Bunge la Mwingi Kaskazini
Raila: 31,665
Ruto: 11,508
Waihiga: 230
Wajackoyah: 424
Waliosajiliwa: 68,829
Halali: 43,817
Imekataliwa: 282