Kuku wakiwa wengi huwa wanamwaya mtama kwenye kitengo za toboa siri, kinachokujia kila siku ya wiki.
Jamaa mmoja alitoboa siri jinsi baba yake amekuwa akimtongoza mpenzi wake.
Hii hapa siri yake;
"Nataka kumtobolea baba yangu siri nimwambie kwamba nimefahamu na kujua kwamba amekuwa akimtongoza mpenzi wangu nataka aachane naye kwani ni mali yangu
Nimebarikiwa na moto mmoja lakini na mwanamke mwingine, mpenzi wangu ana miaka 19 nami nina miaka 21," Alisimulia mwanamume huyo.
Je ina maana kwamba karne ii ya sasa akina baba hawaheshimu uhusiano wa wana wao, au ni azoea ambayo watu wamezoea kuwaharibia wasichana wadogo maisha yao.
Tumeshuhudia na kuona wengi wakipeana talaka kutokana na ukosefu wa imani baada ya kufunga pingu za maisha.
Je nani atabadili karne hii ya sasa au wanadamu watabadilisha tabia ya mipango ya kando lini?