In Summary
  • Ziara hiyo ilijiri miezi michache tu baada ya Zari Hassan pia kufanya ziara kwenda Tanzania kuwapeleka watoto wake Tiffah Na Nillan kumuona baba yao baada ya waiwli hao kutengana
  •  Akilizungumzia hilo  Diamond amesema wamekuwa wakipanga sana kukutana na Hamisa ili aweze kumuona mtoto wake Dylan .
Diamond na Mwanawe Naseeb Junior aliyempata na Tanasha Donna

 Nyota wa muziki wa Bongo Diamond Pltinumz  amekuwa akitrend wiki nizma baada ya msanii Tanasha Donna kupiga safari kwenda Tanzania kumpeleka mtoto wake Naseeb Junior  amuone babake.

 Ziara hiyo ilijiri miezi michache tu baada ya Zari Hassan pia kufanya ziara kwenda Tanzania kuwapeleka watoto wake Tiffah Na Nillan kumuona baba yao baada ya waiwli hao kutengana .

 Mashabiki walisalia    na maswal;I mengi kuhusu mbona Hamosa Mobetto hajafanya ziara naye kumpeleka mtoto wake Dylan kumuon Diamond kwa sababu imekuwa wazi kwamba kuna mtindo  hapa kuhusu Diamond na wapenzi wake wa zamani .

 Akilizungumzia hilo  Diamond amesema wamekuwa wakipanga sana kukutana na Hamisa ili aweze kumuona mtoto wake Dylan .

 ‘ Mimi hukutana na mwanangu mara nyingi  sana ni kwa sababu huwa hatuposti picha hizo katika mitandao ya kijamii . Kwa kweli Dylan laifaa kuzuru familia yangu kwa wiki moja kabla ya Tanasha kumleta mtoto wake' .

 Aliongeza  kusema

 'Nawapenda wanangu wote  na nina heshima kwa mama zao wote  .wao hupitia mengi hasa katika mitandao ya kijamii  laini nawaheshimu kwa njia sawa'

 

View Comments