In Summary
•Kupitia picha na video alizopakia kwenye mtandao wa Instagram, Diamond ambaye alienda Marekani kuhudhuria hafla ya kutuza wasanii ya BET Awards 2021 ameonekana akiburudika na wanamuziki wa nyimbo za kufoka waliobobea na kuheshimika kote duniani.
•Kwenye video moja ambayo Diamond alipakia kwenye akaunti yake ya Instagram mapema wiki iliyopita, Busta Rhymes alisikika akimuita Diamond 'Michael Jackson wa Afrika'