In Summary
  • Mwanamke asimulia jinsi mke mwenza wake alitoroka na pesa ya mahari yake
black-woman-crying-

Hamna kitu kinachomfurahisha mwanamke kama mumewe kupeleka mahari kwao, na kuwafanya wazazi wake wawe na furaha.

Sio wanawake wote ambao wamebahatika kulipiwwa mahari na waume wao huku baadhi yao wakiachana na ndoa yao.

Nikiwa katika ziara zangu, nilipata na mwanamke anayefahamika kama Christine ambaye alinisimulia jinsialipata mateso kwenye ndoa yakee.

Kulingana naye mumewe alioa mke wa pili na kumpenda sana kuliko alibyo kuwa anampenda.

"Baada ya kuwa kwa ndoa kwa miak 8 mume wangu alimuoa mkee wa pili, ambaye alikuwa mke mwenza

Wakati huo tulikuwa tumeuza ng'ombe ili alipelekee mahari, lakini baada ya kuuza ng'ombe walitoroka wakiwa wawili, na kuniacha baada ya mwaka mmoja mume wangu alirudi, lakini ke mwenza wangu hakuwa kwani aliaga dunia alipokuwa anajifungua

Mume wangu aliniongeza majukumu kwani alimleta mtoto wa mke mwenza, baada ya kumzika wakwe zangu walisema kwamba niliroga na kumtupia majini kke mwenza wangu ilhali sikuwa najua walipokuwa wanaishi baada ya kutoroka na pesa za mahari yangu," Alisimulia Christine.

Baada yamadai hayi Christine hakuvumilia mateso tena kwani aliondoa katika ndo hiyo, na uanza maisha upya.

 

 

 

 

 

View Comments