In Summary
•Uvumi umetanda baada ya Madowo na Bi Kimani kupakia picha zilizoonyesha wakiwa kwenye kipindi kizuri pamoja na kuziambatanisha na jumbe tamu za mapenzi.
•Picha ambayo Madowo alikuwa amepakia mwaka wa 2014 wakiwa wanakula na kunywa pamoja na Edith katika hoteli ya Kenchic ilifukuliwa na baadhi ya wanamitandao.
•Maelfu ya Wakenya wamekuwa wakishangaa lini mtangazaji huyo gwiji mwenye umri wa miaka 34 atafunga ndoa huku wengi wakitazamia kuona mwanamke atakayeyeyusha moyo wake.