In Summary

โ€ข Wakati wa hafla hiyo ya Jumamosi, Awinja na Osoro walikuwa wamevalia vitenge vilivyofanana.

โ€ขKwa muda mrefu, Awinja na Osoro wamekuwa wakicheza mume na mke katika michezo yao mingi ya kuigiza

Image: HISANI

Muigizaji mashuhuri wa Kenya Jacky Vike almaarufu Awinja Nyamwalo hayuko sokoni tena kufuatia harusi yake ya kitamaduni na mchekeshaji mwenzake Osoro.

Wawili hao walipeleka uhusiano wao katika hatua nyingine siku ya Jumamosi katika hafla ambayo ilipambwa na marafiki na wanafamilia wao wa karibu. Wakati wa hafla hiyo, Awinja na Osoro walikuwa wamevalia vitenge vilivyofanana.

Video zilizochukuliwa wakati wa hafla hiyo zilichapishwa kwenye mitandao ya kijamii, na kuibua hisia mseto kutoka kwa mashabiki na wafuasi wao.

Hata hivyo, baadhi ya mashabiki walipuuza madai ya harusi hiyo, wengi wakisema kwamba huo ni mchezo mwingine wa ucheshi.

Kutokuwepo kwa marafiki mashuhuri wa Awinja kwenye sherehe hiyo ya kitamaduni kulizungumza mengi. Hii ilifanya iwe vigumu kwa mashabiki kuamini kwamba kweli Osoro na Awinja walikuwa wamefunga ndoa.

Kwa muda mrefu zaidi, Awinja na Osoro wamekuwa wakicheza mume na mke katika michezo yao mingi ya kuigiza - na kufanya iwe vigumu kwa mashabiki kuamini kuwa wao ni wapenzi.

Kufikia sasa video na picha zilizochukuliwa kwenye sherehe hiyo hazijachapishwa na watu wengine pekee - jambo ambalo limezua taharuki kwa mashabiki wanaohoji uhalali wa harusi hiyo ya kitamaduni.

Je, unaamini kwamba Awinja hayuko Sokoni? Muda pekee ndio utasema.

Hizi baadhi ya hisia za Wakenya:-

faithvolineย Mko sure si jokes Za awinja za kila siku???

its.muthonii_ย Mbona inakaa jokes๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

sta.mukaย Amber reeee, Akotheee, Kameneee, Sasa tena huyu... Soko mmesena mtaacha prity vishindo peke yake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

jacintamumo19ย Napenda venye ametupea suspense hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hakuna mtu ako sure ni real ama ni comedy๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tuwaache tu.๐Ÿ™Œ

jacintamumo19 ย Napenda venye ametupea suspense hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hakuna mtu ako sure ni real ama ni comedy๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tuwaache tu.๐Ÿ™Œ

iammariah9ย Kumbe ilikua serious ivi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ and here I thought ilikua tu content ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ aki shosho media wewe...love is a beautiful thing ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ congrats to them

pascarlianย Mko sure si comedy Bora nisione advertisement ya kitenge๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anyway congratulations

mtunecessaryย Kutoka soko ndio ngumu kurudi requires only one text from that bitter ex and voila we are back to wearing boots while walking in the market

vanessa_maurineย How are we supposed to believe this?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

naomi.misoiย Huyu Awinja anapenda jokes sana so hatujui kama hii iko serious or acting. Anyway congratulations if it's true

tessthebossbabeย I though all along they were just creating contentโ€ฆnothing serious.Congratulations!๐Ÿฅณ

View Comments