03 May 2021 1 Min Read
Kibao cha wiki:Tazama kibao kipya cha msanii Mbosso na Spice Diana
In Summary
- Tazama kibao kipya cha msanii Mbosso na Spice Diana
- Siku mbili zilizopita msanii huyo alitoka kibao akimshirikisha msanii wa Uganda Spice Diana, kibao ambacho kinafahamika kama 'Yes'
Msanii wa bongo Mbosso ni msanii kutoka Tanzania ambaye amekuwa akitia bidii kila siku katika kazi yake ya usanii.
Siku mbili zilizopita msanii huyo alitoka kibao akimshirikisha msanii wa Uganda Spice Diana, kibao ambacho kinafahamika kama 'Yes'.
Ni kibao ambacho kimepokelewa vyema na mashabiki kinazungumzia mwanamume ambaye alikuwa anatafuta mpenzi na hatimaye amempata mpenzi wa roho yake.
Β
Huku akimuuliza kama atakubali amuoe, na bila shaka mwanamke huyo anakubali, na hata kumpeleka kwa wazazi wake.
Furahia kibao hicho cha wiki, na utoe maoni yako kama kina weza au bado.
Hii hapa video ya kibao hicho;
The video could not be loaded.
Get The Album Now ππΌππΌ
https://mbosso.lnk.to/dol
What Is Love?
Every person has his own Definition Of Love
The answer differ due to everyone's experience
But I brought to you my own Definition Of Love
Which is available on my Album
Kindly listen to DEFINITION OF LOVE
You will either get the meaning through my language or the melody i used!
Enjoy!
From DEFINITION OF LOVE Album
Track 11 - Yes Featuring Spice Diana
For Bookings: mbosso@wcbwasafi.com
Follow Mbosso On:
Instagram:https://www.instagram.com/mbosso_
Twitter:https://twitter.com/mbossokhan/
Facebook:https://www.facebook.com/mbossoofficial/
#definitionoflove #mbosso #Spicediana