In Summary
  • Ujumbe wa Bendi ya Sautisol kwa Nviiri anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa
Nviiri

Bendi ya Sautisol imewafurahisha mashabiki wake baada ya kumwandikia mmoja wa wasanii wake Nviirithestoryteller  ujumbe wa kipekee anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kulingana na Sautisol Nviiri ni mwanamume mwenye talanta nyingi, pia walifichua kwamba alisaidia aliandika kibao cha 'Suzanna' na 'Melanin'.

Ni baadhi ya viba ambavyo vimependwa sana na mashabiki.

"Heri ya siku ya kuzaliwa @nviirithestoryteller 🌟🎂🥳.Mwanamume mwenye talanta nyingi (kama vile wanawake wangekubali) - lakini ni mchezo wake wa kalamu na uhodari wa sauti ambao humtenganisha na umati.

Ustadi wake hauwezi kulinganishwa! Kwa kweli, Msimuliaji hadithi aliandika vibao vyetu viwili vikubwa hadi leo #Melanin na #Suzanna. HBD bwana sherehe 🥂🤘🏾. Endelea kuongezeka 🚀💸."

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki wakimtakia heri njema siku yake ya kuzaliwa;

d.e.x.s.t.a.r_flex: Happy birthday champ🇰🇪🛑

kovarskiss: Happy birthday my day Maker 😘😘

_s.o.n.n.e.y_: Happy birthday 🎉❤️❤️

sevens_dreadlocks_world: Happy Birthday

ambussi_: More life bro😍

collins_king_comedian: Happy birthday king🔥🔥

View Comments