In Summary
• Msanii Otile Brown ametangaza kwamba atakuwa anaachilia EP yake ya kwanza mwaka wa 2022 siku ya Alhamisi .
• Ngoma zote tano kwenye EP hiyo ya #UptownFlex zitakuwa na ‘title’’ za kizungu licha ya wengi kumfahamu Otile Brown kupitia umahiri wake katika nyimbo za Kiswahili.