In Summary
• Msanii na mfanyibiashara KRG the Don amefutilia mbali madai ya mashabiki wanaosema sehemu ya starehe ya Cassavera sio yake na kwamba ameajiriwa tu kama balozi.
• “…Ni sawa, anayezungumza ni nani? Hakuna siku nimeingia hapa nikafukuzwa, kwa hiyo sijui wanasema nini,” alisema.