Mkusanyiko wa habari za uhalifu
Mwanamme amuua mkewe na watoto wao wawili Mbeere
.Baadaye mshukiwa huyo alijaribu kujiua kwa kuruka kutoka jengo la ghrofa tano mtaani Kayole
- Tukio hilo lilifanyika jumapili asubuhi wakati mshukiwa alipojifungia chumbani na kutekeleza mauaji hayo .
- Chanzo cha mauaji hayo hakijajulikana
Polisi huko Mbeere wanachunguza kisa ambapo mwanmme mmoja amewaua mkewe na wanawe wawili .Idara ya DCI imesema mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 28 aliuawa na mume wake pamoja na watoto wawili wenye umri wa miaka tisa na nane .
Tukio hilo lilifanyika jumapili asubuhi wakati mshukiwa alipojifungia chumbani na kutekeleza mauaji hayo .Chanzo cha mauaji hayo hakijajulikana
Huku hayo yakiarifiwa polisi mtaani Kayole wamepiga hatua mwishoni mwa wiki katika kupata ushahidi kuhusu mauaji ya mwanamme mmoja Margaret Muchemi.Mwanamke huyo aliteketezwa ndani ya nyumba yake na mpenzi wake kabla ya wili wake kupatikana baadaye .
Mwishoni mwa wiki polisi wanasema walipata simu ya mshukiwa iliyokuwa imefichwa katika duka moja la kuuza vileo katika mtaa wa umoja linalomikiliwa na mshukiwa anayedaiwa kutekeleza mauaji hayo Charles Oluenyi.
Alikamatwa januari tarehe 27 kuhusiana na mauaji hayo baada ya kutoroka kwa Zaidi ya wiki moja tangu mauaji hayo kuripotiwa januari tarehe 21 .Baadaye mshukiwa huyo alijaribu kujiua kwa kuruka kutoka jengo la ghrofa tano mtaani Kayole