Last Updated On 14 February 2021 1 Min Read
Covid 19
75 wapatikana na Corona huku 56 wakipona
Kuna wagonjwa 347 waliolazwa hospitalini kote nchini huku 1,275 wakiwa chini ya mpango wa kutunzwa nyumbani .Wagonjwa 33 wapo ICU
In Summary
- Jumla ya sampuli zilizopimwa sasa ni 1,241,368 .Kutoka visa hivyo 62 I wakenya ilhali 13 ni raia wa kigeni .
- Wanaumeni 48 ilhali wanawake ni 27 .Mgonjwa wa umri wa chini ni mtoto wa miaka 5 ilhali wa umri wa juu ana miaka 89 .
Watu 75 wamepatikana na virusi vya Corona baada ya sampuli 3,025 kupimwa katika saa24 zilizopita na kufikisha visa hivyo kuwa 102,867 .
Jumla ya sampuli zilizopimwa sasa ni 1,241,368 .Kutoka visa hivyo 62 I wakenya ilhali 13 ni raia wa kigeni .Wanaumeni 48 ilhali wanawake ni 27 .Mgonjwa wa umri wa chini ni mtoto wa miaka 5 ilhali wa umri wa juu ana miaka 89 .
Leo watu 56 wamepona ugonjwa huo na kufikisha 85,008 idadi ya waliopona Corona hadi sasa .Hakuna maafa yaliyoripotiwa leo na idadi hiyo inasalia kuwa 1,795 . Kuna wagonjwa 347 waliolazwa hospitalini kote nchini huku 1,275 wakiwa chini ya mpango wa kutunzwa nyumbani .Wagonjwa 33 wapo ICU