14 October 2020 1 Min Read
Kuna wanaojibana katika misingi ya kikabila ,dini na tabaka
Ukabila katika ndoa,Je Mbona tumeingiza utabaka,ukabila na udini katika ndoa?+PodiyaYusufJuma
Mapenzi hayafai kujali mipaka kama hiyo
In Summary
- Ukabila haufai kuwa kigezo katika kaumua utakayemuoa au kuolewa naye
- Kuna dhana potovu kwamba watu wasio wa kabila moja hawawezi kufanikisha ndoa
- Tofauti za tamaduni na mila zinafaa kuchukuliwa kama uthabiti
Katika Podi ya leo,tunazama kujadili mbona wakati mwingine watu wanajibana katika ufinyu wa ukabila au dini au tabaka wakati wa kumchangua mtu wa kuanza naye maisha kama mke na mume .
The video could not be loaded.
#PodiyaYusufJuma#YusufJuma
Shirikiana,Wasiliana,Ungana au tangamana na Yusuf Juma
Facebook:Yusuf Juma/Yusuf Juma-Kenya
Instagram:@yusufjumaofficial
Twitter:@YusufJumaKenya
Email:yusufjuma86@gmail.com
Youtube:Yusuf Juma-Kenya