14 February 2021 1 Min Read
Talaka ya Uhuruto
Rais Uhuru na DP Ruto wavua glavu- Uhuru amtaka Ruto ajiuzulu#PodiyaYusufJuma
Rais na naibu wake wamekuwa wakielekea katika njia tofauti kwamuda wa miaka 2 sasa
In Summary
- Kulikuwa na matumaini ya kuwapatanisha viongozi hao wawili
- Ruto alitaraji kuungwa mkono na Rais wakati muhula wake utakapotamatika 2022
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wameondoa glavu katika minono yao na kuanza kutupiana cheche hadharani na kumaliza kabisa uwezekano wao kupatanishwa kisiasa
The video could not be loaded.
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wameondoa glavu katika minono yao na kuanza kutupaiana cheche hadharani na kumaliza kabisa uwezekano wao kupatanishwa kisiasa . Katika Podi hii tunajadili laana ya siasa za Kenya ya kuwepo migawanyiko katika kila utawala baada ya uchaguzina viongozi kuungana na kuunda serikali .
Katika Podi hii tunajadili laana ya siasa za Kenya ya kuwepo migawanyiko katika kila utawala baada ya uchaguzina viongozi kuungana na kuunda serikali .