In Summary
- Yvette asema haya kuhusu maisha yake na msanii Bahati na jinsi wanasaidana kumlea mtoto wao
- Pia alisema kwamba kuna wakati alikejeliwa na wanamitandao huku akijawa na msongo wa mawazo
- Yvette alisema kwamba hapendi kuitwa baby mama wa mtoto wa Bahati