• Video
• Jamaa apachika mpango wa kando nyumba
Jamaa ataka Gidi na Ghost kumsaidia kumrejesha mke wake aliyetoka baada ya mumewe kumpachika mimba mpango wa kando.
Sasa 'kimeumana' anataka mke wake arudi au ajitiye kitanzi.