logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Jinsi Timu Kubwa Za Kenya Zimepangwa Kwenye Kombe La Shirikisho La FKF

Mashindano hayo ya kupata timu itakayowakilisha Kenya kwenye kombe la shirikisho la CAF yataanza Februari 22 hadi Fainali Juni 14.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki18 February 2025 - 14:01

Muhtasari


  • Mashindano hayo ya kupata timu itakayowakilisha Kenya kwenye kombe la shirikisho la CAF yataanza Februari 22 hadi Fainali Juni 14.
  • Jumla ya vilabu 64 vitajibwaga uwanjani kuanzia wikendi hii kung’ang’ania nafasi ya kuwakilisha Kenya kwenye bara la Afrika.
  • Shindano hili linajumuisha timu kutoka kwa ligi kuu ya FKF-PL, ligi pana ya taifa NSL na ligi za divisheni.

Ratiba za mashindano ya kombe la shirikisho la FKF

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved