logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Tovuti Na Mitandao Ya Kijamii Ambayo Ilitembelewa Mara Nyingi Zaidi Mwaka Huu

Hata hivyo, ifahamike kwamba tuliondoa tovuti na mitandao ya video za watu wazima ambazo baadhi (majina yamebanwa) zilikuwa miongoni mwa 10 bora.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki27 February 2025 - 13:39

Muhtasari


  • Google ilishuhudia idadi kubwa zaidi ya watu kutembelea tovuti hiyo mara bilioni 139.9 huku YouTube ikifuata kwa umbali kwa kutembelewa mara bilioni 77.9.
  • Aidha, mitandao mingine iliyotembelewa mara nyingi zaidi ni kama vile Facebook (mara bilioni 7.6), Instagram (mara bilioni 7.2) na Wikipedia ikifunga nne bora kwa kutembelewa mara bilioni 7.
  • X ama Twitter ilitembelewa mara bilioni 4.7, ChatGPT ikitembelewa mara bilioni 4.6 nayo WhatsApp ikitembelewa mara bilioni 3.6

Tovuti na mitandao ya kijamii iliyovutia watumizi wengi mwaka huu

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved