logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wetang’ula, Duale na wengine walioshinda chaguzi 2022 na kujiuzulu baadae

Duale alishinda ubunge wa Garissa Township lakini akajiuzulu na kujiunga katika baraza la mawaziri la Ruto ambapo amehudumu katika wizara za ulinzi, mazingira na sasa afya.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki28 March 2025 - 08:57

Muhtasari


  • Moses Wetang’ula alishinda useneta wa Bungoma katika uchaguzi wa Agosti 2022 lakini baadae akajiuzulu ili kuhudumu kama spika wa bunge la kitaifa.
  • Aden Duale pia alishinda ubunge wa Garissa Township lakini akajiuzulu na kujiunga katika baraza la mawaziri la Ruto ambapo amehudumu katika wizara za ulinzi, mazingira na sasa afya.
  • Hivi majuzi, rais Ruto pia alimteua mbunge wa Mbeere Kaskazini, Geoffrey Ruku kama waziri wa utumishi wa umma, na MP huyo anatarajiwa kujiuzulu ubunge rasmi.

Waliojiuzulu ili kuhudumu katika nyadhifa kuu tangu uchaguzi wa 2022

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved