logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wosia wa Papa Francis Kuhusu mazishi yake

Papa Francis atakuwa Papa wa kwanza kwa zaidi ya miaka 100 kuzikwa nje ya Vatican.

image
na Davis Ojiambo

Habari24 April 2025 - 08:38

Muhtasari


  • Kuzikwa kwenye kaburi/jeneza la kawaida chini ya ardhi.
  • Kuzikwa eneo la kanisa la St Mary Major Basilica (Rome).
  • Kuzikwa bila mapambo.
  • Kaburi lake kuwekwa jina lake kwa kilatini Franciscus.

Wosia wa Papa Francis Kuhusu mazishi yake

“Nikihisi kwamba mwisho wa maisha yangu ya kidunia unakaribia na nikiwa na tumaini katika Uzima wa Milele, ningependa kueleza wosia wangu kuhusu mahali pa kuzikwa kwangu”, Papa aliandika kwenye wosia.

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved