logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Viongozi waliothibitisha kuhudhuria mazishi ya Papa Francis

Atazikwa katika eneo la kanisa la St Mary Major Basilica mjini Rome.

image
na Davis Ojiambo

Kimataifa23 April 2025 - 14:13

Muhtasari


  • Papa Francis atakuwa Papa wa kwanza kwa zaidi ya miaka 100 kuzikwa nje ya Vatican.
  • Atazikwa katika eneo la kanisa la St Mary Major Basilica mjini Rome.
  • Kulingana na Wosia wake atazikwa bila mapambo yoyotte. 

VIONGOZI KATIKA MAZIKO YA PAPA FRANCIS

Rais Javier Milei wa Argentina nchi anakotoka Papa Francis atakuwa miongoni mwa viongozi watakaohudhuria mazishi hayo.

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved