
Mwanahabari mkongwe Leonard Mambo Mbotela alifariki dunia siku Ijumaa baada ya kuugua kwa muda. Leonard anakumbukwa kwa kulazimishwa na wanajeshi waasi kutangaza jaribio la mapinduzi mwaka1982.
NOW ON AIR
Leonard Mambo alifariki Februari 7,2025 akiwa na umri wa miaka 85.
Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7