In Summary
•Mzaliwa huyo wa Pwani amesema kwamba alivutiwa sana na bidhaa ambazo aliona zikiuzwa mitandaoni na bila kusita akatumia 'muuzaji' yule ujumbe akitaka kujua zaidi kuzihusu ili azinunue.
•'Muuzaji' yule alimhakikishia Nyota kwamba angeweza kupokea bidhaa alizonunua kabla ya saa moja usiku kutimia lakini do! baada ya masaa ambayo walikubaliana kupita alipigwa na butwa kugundua kuwa alichokuwa amesubiri ni kupata na uyakinifu kwamba alikuwa kachezwa tu.