In Summary
• Usimamizi wa Youtube umetoa orodha ya wasanii kumii wa eneo la jangwa ya kusini waliofanikiwa kuwa na watazamaji wengi katika mtandao huo katika mwaka wa 2021.
• Orodha hii ambayo imewajumuisha wasanii wawili kutoka taifa la Tanzania, huku asilimia kubwa ikiwa wasanii wa Nigeria.