logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mitazamo ya Wanawake wa Nairobi Wenye Umri Wa Chini ya Miaka 30 Kuhusu Ndoa

51% ya warembo wa Nairobi hawaoni tatizo ikiwa wataolewa kama mke wa ziada huku 67% ya wale waliosoma wakionesha kutokuwa na haja kabisa katika kuolewa.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki26 February 2025 - 15:35

Muhtasari


  • 51% ya warembo wa Nairobi hawaoni tatizo ikiwa wataolewa kama mke wa ziada huku 67% ya wale waliosoma wakionesha kutokuwa na haja kabisa katika kuolewa.
  • Kwa upande wa umri, 45% ya warembo wa Nairobi wanapendelea kuolewa wakiwa na kati ya miaka 28-30 huku 37% wakipendelea kuolewa wakiwa na zaidi ya miaka 30.
  •  80% ya warembo wa Nairobi wanalipa kipaumbele suala la kujitosheleza kifedha na kitaaluma kuliko ndoa.

MITAZAMO YA WAREMBO WA NAIROBI KUHUSU NDOA

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved