logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Makosa ambayo adhabu yake ni kunyongwa nchini Vietnam

Miongoni mwa makosa ya adhabu ya kunyongwa ni pamoja na kuchukua hongo, kubaka mtu mwenye umri wa chini ya miaka 16, kutengeneza au kusafirisha mihadarati...

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki18 March 2025 - 12:41

Muhtasari


  • Taifa la Vietnman limeorodhesha jumla ya makosa 18 yanayosababisha adhabu ya kifo na makosa hayo yametengwa kwa makundi 8.
  • Miongoni mwa makosa ya adhabu ya kunyongwa ni pamoja na kuchukua hongo, kubaka mtu mwenye umri wa chini ya miaka 16, kutengeneza au kusafirisha mihadarati miongoni mwa mengine.
  • Mkenya Margaret Nduta amehukumiwa adhabu ya kunyongwa nchini humo baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya.
  • Kunyongwa kwa kupigwa risasi kulibadilishwa hadi kunyongwa kwa kudungwa sindano kali ya sumu mwaka 2011.

Makosa ya adhabu ya kifo nchini Vietnam

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved