Dirisha la Uhamisho: Wajue wachezaji wa soka waliohama kutoka klabu moja hadi nyengine Ulaya

Huku msimu mpya wa kandanda barani Ulaya ukitarajiwa kuanza hivi karibuni, Klabu zimeanza kuimarisha vikosi vyao tayari kwa michuano hiyo

Muhtasari

•Nuno Tavares [Benfica - Arsenal] Amehamia kwa dau la £8m

•Billy Gilmour [Chelsea - Norwich] Uhamisho wa mkopo

Image: HISANI

Huku msimu mpya wa kandanda barani Ulaya ukitarajiwa kuanza hivi karibuni, Klabu zimeanza kuimarisha vikosi vyao tayari kwa michuano hiyo.

14 Julai

English Football League

Ethan Horvath [Club Bruges - Nottingham Forest]

13 Julai

Premier League

Pierre Lees-Melou [Nice - Norwich] amehamia kwa dau la £3.5m

Remi Matthews [Sunderland - Crystal Palace] amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

International

Rui Patricio [Wolves - Roma] amehamia kwa dau lisilojulikana

English Football League

Harry Anderson [Lincoln - Bristol Rovers] Uhamisho wa bila malipo

Aden Baldwin [Bristol City - MK Dons] Uhamisho wa bila malipo

Matt Clarke [Brighton - West Brom]Uhamisho wa mkopo

David Davis [Alikuwa bila klabu - Shrewsbury]

Jimmy Dunne [Burnley - QPR] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Bright Enobakhare [SC East Bengal - Coventry] Amehamia bila malipo

Ryan Giles [Wolves - Cardiff] Amehamia kwa mkopo

Shane McLoughlin [AFC Wimbledon - Morecambe] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Jacob Mensah [Weymouth - Morecambe] amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Jamie Reid [Mansfield - Stevenage] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Jensen Weir [Brighton - Cambridge] Amehmia kwa mkopo

Jadon Sancho amehamia Manchester United kutoka Borrusia Dortmund
Jadon Sancho amehamia Manchester United kutoka Borrusia Dortmund

Ligi Kuu ya Uskochi

Darragh O'Connor [Leicester - Motherwell] amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

12 Julai

English Football League

Lewis Cass [Newcastle - Port Vale] Amehamia kwa mkopo

Emmanuel Fernandez [Ramsgate - Peterborough] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Sam McCallum [Norwich - QPR] Amehamia kwa mkopo

Aaron McGowan [Kilmarnock - Northampton] Amehaimia kwa dau lisilojulikana

Reagan Ogle [Accrington - Hartlepool] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Kieran Phillips [Huddersfield - Walsall] Amehamia kwa mkopo

Joe Pigott [AFC Wimbledon - Ipswich] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Kimataifa

Rodrigo de Paul [Udinese - Atletico Madrid] Amehamia kwa dau la £29.9m

Alex Jankewitz [Southampton - BSC Young Boys] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Mat Ryan [Brighton - Real Sociedad] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Kiko Casilla [Leeds - Elche] Amehamia kwa mkopo

11 Julai

English Football League

Kieron Freeman [Swansea - Portsmouth] Amehama kwa uhamisho wa bila malipo

Ligi Kuu ya Uskochi

Corey Panter [Luton - Dundee] Amehamia kwa mkopo

10 Julai

Premier League

Nuno Tavares [Benfica - Arsenal] Amehamia kwa dau la £8m

English Football League

Dennis Adeniran [Everton - Sheffield Wednesday] Amehamia kwa uhamishi wa bila malikpo

Jordy Hiwula [Portsmouth - Doncaster] Amehamia kwa uhamishi wa bila malikpo

Luke Thomas [Barnsley - Bristol Rovers]Amehamia kwa uhamishi wa mkopo

Ligi kuu ya Wanawake

Anna Anvegard [Rosengard - Everton] Amehamia kwa mkopo wa bila malipo

Nathalie Bjorn [Rosengard - Everton] Amehamia kwa dau lisilojulikana

9 Julai

Premier League

Rayan Ait-Nouri [Angers - Wolves] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Peter Etebo [Stoke - Watford] Amehamia kwa mkopo

Joshua King [Everton - Watford] amehamia kwa uhamosho wa bila malipo

Dapo Mebude [Alikuwa bila klabu - Watford]

English Football League

Richie Bennett [Stockport - Sutton] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Tahith Chong [Manchester United - Birmingham] Amehamia kwa uhamisho wa mkopo

Trevor Clarke [Rotherham - Bristol Rovers] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Viktor Gyokeres [Brighton - Coventry] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Stephen Humphrys [Rochdale - Wigan] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Greg Leigh [Aberdeen - Morecambe] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Jacob Maddox [Vitoria Guimaraes - Burton] Amehamia kwa mkopo

Callum McManaman [Melbourne Victory - Tranmere] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Sid Nelson [Tranmere - Northampton]Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Elliott Nevitt [Warrington Rylands - Tranmere] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Alex Pritchard [Huddersfield - Sunderland]Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Sion Spence [Crystal Palace - Bristol Rovers] Amehamia kwa mkopo

Stephen Ward [Ipswich - Walsall]Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Ligi Kuu ya Uskochi

Vakoun Bayo [Celtic - Gent] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Ligi kuu ya wanawake

Toni Duggan [Atletico Madrid - Everton] Amehamia kwa dau lisilojulikana

8 Julai

Premier League

Michael Olise [Reading - Crystal Palace] Amehamia kwa dau la £8m

English Football League

Bradley Barry [Barrow - Stevenage] Amehaimia kwa uhamisho wa bila malipo

Akin Famewo [Norwich - Charlton] Amehamia kwa mkopo

Joe Hardy [Liverpool - Accrington] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Zak Mills [Port Vale - Walsall] Amehamia kwa uhamsho wa bila malipo

Rhys Oates [Hartlepool - Mansfield] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Pierce Sweeney [Swindon - Exeter] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Liam Walsh [Bristol City - Swansea] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Max Watters [Cardiff - MK Dons] Amehiamia kwa mkopo

Ligi kuu ya Uskochi

Trevor Carson [Motherwell - Dundee United] Amehamia kwa dau lisilojulikana

Ligi kuu ya wanawake

Chloe Peplow [Tottenham - Reading]

7 Julai

English Football League

Jordan Archer [Middlesbrough - QPR] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Tom King [Newport - Salford]Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Ryan Longman [Brighton - Hull] Amehamia kwa mkopo

Chris Maguire [Sunderland - Lincoln] Amehamia kwa mkopo wa bila malipo

Harry Smith [Northampton - Leyton Orient] Amehamia kwa dau lisilojuliakana

Sam Smith [Reading - Cambridge] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Ash Taylor [Aberdeen - Walsall] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Charlie Wyke [Sunderland - Wigan] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Kimataifa

Michael Sollbauer [Barnsley - Dynamo Dresden] Amehamia kwa dau lisilojulikana

6 Julai

Premier League

Junior Firpo [Barcelona - Leeds United] Amehaimia kwa dau la £13m

Enock Mwepu [RB Salzburg - Brighton] amehamia kwa dau lisilojulikana

Kimataifa

Josip Drmic [Norwich - HNK Rijeka] Amehamia kwa mkopo

Achraf Hakimi [Inter Milan - Paris St-Germain] amehamia kwa dau lisilojuliakana

English Football League

Juan Castillo [Chelsea - Birmingham City] Amehamia kwa mkopo

Aaron Chapman [Motherwell - Gillingham] Amehamia kwa uhamisho wa bila malipo

Enzio Boldewijn [Notts County - Sutton United] Uhamisho wa bila malipo

Danny Lloyd [Tranmere - Gillingham] uhamisho wa bila malipo

George Marsh [Tottenham - AFC Wimbledon] Uhamisho wa bila malipo

Joe Maguire [Accrington - Tranmere] Uhamisho wa bila malipo

Ross Millen [Kilmarnock - Scunthorpe] Uhamisho wa bila malipo

Courtney Senior [Colchester - Newport] Uhamisho wa bila malipo

Ligi kuu ya wanawake

Faye Bryson [Bristol City - Reading]

Maeva Clemaron [Everton - Tottenham]

Tinja-Riikka Korpela [Everton - Tottenham]

5 Julai

Ligi kuu ya Uskochi

Liam Kelly [QPR - Motherwell] hamisho wa dau lisilojulikana

John Lundstram [Sheffield United - Rangers] Uhamisho wa bila malipo

Alex Robertson [Manchester City - Ross County] Uhamisho wa mkopo

English Football League

Aaron Cosgrave [Lewes - AFC Wimbledon] Uhamisho wa mkopo

Liam Coyle [Liverpool - Accrington] Uhamisho wa bila malipo

Sam Nombe [MK Dons - Exeter] Uhamisho wa dau lisilojulikana

Zaki Oualah [Leatherhead - AFC Wimbledon] Uhamisho wa bila malipo

Jamie Proctor [Wigan - Port Vale] Uhamisho wa bila malipo

Matt Smith [Arsenal - Doncaster] Uhamisho wa mkopo

Mario Vrancic [Norwich - Stoke] Uhamisho wa bila malipo

Kimataifa

Nicholas Ioannou [Nottingham Forest - Como] Uhamisho wa mkopo

Bruno Martins Indi [Stoke - AZ Alkmaar] Uhamisho wa dau lisilojulikana

Ligi kuu ya wanawake

Gemma Evans [Bristol City - Reading] Uhamisho wa bila malipo

Vicky Losada [Barcelona - Manchester City] Uhamisho wa bila malipo

4 Julai

Premier League

Francisco Trincao [Barcelona - Wolves] Uhamosho wa mkopo

3 Julai

English Football League

Rob Atkinson [Oxford - Bristol City] Uhamisho wa dau lisilojulikana

Darius Charles [Wycombe - AFC Wimbledon] Uhamisho wa bila malipo

Emiliano Marcondes [Brentford - Bournemouth] Uhamisho wa bila malipo

Simon Moore [Sheffield Utd - Coventry] Uhamisho wa ila malipo

Kimataifa

Kamil Grabara [Liverpool - FC Copenhagen] Uhamisho wa dau lislilojulikana

Sebastian Soto [Norwich - Porto] Uhamisho wa mkopo

ligi kuu ya wanawake

Hannah Hampton [Birmingham - Aston Villa] Uhamisho wa bila malipo

Meaghan Sargeant [Bristol City - Aston Villa] Uhamisho wa bila malipo

2 Julai

Premier League

Billy Gilmour [Chelsea - Norwich] Uhamisho wa mkopo

Jack Harrison [Manchester City - Leeds] Uhamisho wa dau lisilojulikana

Tom Heaton [Aston Villa - Manchester United] Uhamisho wa bila malipo

Romain Perraud [Stade Brest - Southampton] Uhamisho wa dau lisilojulikana

Boubakary Soumare [Lille - Leicester] alihamia kwa dau la £17m

Ligi kuu ya Uskochi

Daniel Barden [Norwich - Livingston] Uhamisho wa mkopo

Reece Devine [Manchester United - St Johnstone] Uhamisho wa mkopo

Kevin van Veen [Scunthorpe - Motherwell] Uhamisho wa bila malipo

Jake Vokins [Southampton - Ross County] Uhamisho wa mkopo

English Football League

Benik Afobe [Stoke - Millwall] Uhamisho wa mkopo

Jack Aitchison [Barnsley - Forest Green] Uhamisho wa mkopo

Ryan Burke [Birmingham - Mansfield] Uhanisho wa mkopo

Cameron Coxe [Solihull - Colchester] Uhamisho wa mkopo

Sadou Diallo [Wolves - Forest Green] Uhamisho wa mkopo

Lewis Fiorini [Manchester City - Lincoln] uhamisho wa mkopo

Paul Glatzel [Liverpool - Tranmere] Uhamisho wa mkopo

Uche Ikpeazu [Wycombe - Middlesbrough] uhamisho wa dau lisilojulikana

Andy King [OH Leuven - Bristol City] Uhamisho wa bila malipo

Josh Knight [Leicester - Peterborough] Uhamisho wa dau lisilojulikana

Alfie McAlmont [Leeds - Morecambe] uhamisho wa mkopo

Christopher Missilou [Swindon - Newport] uhamisho wa bila malipo

Alex Mowatt [Barnsley - West Brom] uhamisho wa bila malipo

Lee Peltier [West Brom - Middlesbrough] uhamisho wa bila malipo

Joel Piroe [PSV Eindhoven - Swansea] Uhamisho wa bila malipo

George Saville [Middlesbrough - Millwall] uhamisho wa dau lisilojulikana

Martyn Waghorn [Derby - Coventry] Uhamisho wa bila malipo

Ligi kuu ya wanawake

Chantelle Boye-Hlorkah [Everton - Aston Villa] Uhamisho wa bila malipo

Sarah Mayling [Birmingham - Aston Villa] uhamisho wa bila malipo

Nikita Parris [Lyon - Arsenal] Uhamisho wa dau lisilolojulikana

Cho So-hyun [West Ham - Tottenham] Uhamisho wa bila malipo

Kimataifa

Jon Mikel Obi [Stoke - Kuwait Sporting Club] Uhamisho wa bila malipo

Victor Moses [Chelsea - Spartak Moscow] Uhamisho wa dau lisilojulikana

Rafa Mujica [Leeds - Las Palmas] Uhamisho wa dau lisilojulikana

1 Julai

Scottish Premiership

Osaze Urhoghide [Sheffield Wednesday - Celtic] Uhamisho wa dau lisilojulikana

James Brown [Millwall - St Johnstone] Uhamisho wa dau lisilojulikana

English Football League

Daniel Ballard [Arsenal - Millwall] Uhamisho wa mkopo

Gavin Bazunu [Manchester City - Portsmouth] Uhamisho wa mkopo

George Dobson [Sunderland - Charlton] Uhamisho wa bila malipo

Owen Gallacher [Burton - Crawley]Uhamisho wa bila malipo

Tommie Hoban [Aberdeen - Crewe] Uhamisho wa bila malipo

Joe Kizzi [Bromley - Sutton] Uhamisho wa bila malipo

Ricky Korboa [Northampton - Sutton] Uhamisho wa bila malipo

Matty Lund [Rochdale - Salford] Uhamisho wa dau lisilojulikana

Conor McAleny [Oldham - Salford] Uhamisho wa bila malipo

Josh McPake [Rangers - Morecambe]Uhamisho wa mkopo

Jack Marriott [Derby - Peterborough] Uhamisho w bila malipo

Josh Martin [Norwich - MK Dons] Uhamisho wa mkopo

Luke McCormick [Chelsea - Wimbledon] uhamisho wadau lisilojulikana

Joel Mumbongo [Burnley - Accrington] Uhamisho wa mkopo

Mark Oxley [Southend - Harrogate] Uhamisho wa bila malipo

Archie Procter [AFC Wimbledon - Accrington] uhamisho wa dau lisilojulikana

Ethan Robson [Blackpool - MK Dons] Uhamisho wa mkopo

Ben Sheaf [Arsenal - Coventry] Uhamisho wa dau lisilojulikana

Alistair Smith [Altrincham - Sutton] Uhamisho wa dau lisilojulikana

James Trafford [Manchester City - Accrington] uhamisho wa mkopo

Ligi kuu ya wanawake

Remi Allen [Leicester - Aston Villa] uhamisho wa bila malipo

Kenza Dali [West Ham - Everton] Uhamisho wa bila malipo

Claudia Walker [Birmingham - West Ham] uhamisho wa bila malipo