logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Ligi ya Mabingwa: Tazama jedwali la mwisho baada ya kumalizika kwa hatua ya makundi; Fahamu timu zipi zilifuzu na zipi zilitolewa

Hatua ya Makundi ya Mashindano ya Ligi ya Mabingwa ilikamilika usiku wa Jumatano, Januari 29 .

image
na Samuel Mainajournalist

Football30 January 2025 - 08:10

Muhtasari


  • Wahitimu wa hatua ya muondoano walithibitishwa huku timu 24 zikisonga mbele kwa awamu inayofuata ya mashindano hayo ya kifahari ya Uropa.
  • Mashindano hayo yatakamilika kwa fainali itakayochezwa Jumamosi, 31 Mei, kwenye Uwanja wa Allianz Arena huko Bayern Munich.