
Mnamo Januari 9, 2025, Bwana Stephen Nyandiko alituma ujumbe kwa kipindi cha Patanisho, akiomba kusaidiwa kuponya ndoa yake na mkewe Dinah Moraa – ndoa iliyokuwa ikielekea kuzama.
Miezi miwili baadaye, tumewatembelea nyumbani kwao eneo la Pipeline, ambako wanatusimulia kwa furaha jinsi maisha yao yamebadilika baada ya kusaidiwa kurejesha mahusiano yao.