logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Maspika Wa Kaunti Ambao Wamejiuzulu Nyadhifa Zao Kati Ya 2019 na 2025

Spika wa Turkana ni wa pili kujiuzulu kwa mwaka huu pekee baada ya mwenzake wa Elgeyo Marakwet, Philemon Sabulei kujiuzulu mwishoni mwa Januari.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki26 February 2025 - 16:36

Muhtasari


  • Spika wa bunge la kaunti ya Turkana, Christopher Nakuleu ndiye wa hivi punde kujiuzulu huku hoja ya kumbandua ofisini ikitarajiwa kujadiliwa bungeni Ijumaa, Februari 28.
  • Spika wa Turkana ni wa pili kujiuzulu kwa mwaka huu pekee baada ya mwenzake wa Elgeyo Marakwet, Philemon Sabulei kujiuzulu mwishoni mwa Januari.
  • Mbunge wa sasa wa Dagoretti North, Beatrice Elachi alijiuzulu kama spika wa bunge la kaunti ya Nairobi mnamo Agosti 2020.

Maspika wa kaunti ambao wamejiuzulu tangu ugatuzi

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved