logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Baadhi ya wasanii wa Kenya wanaowania tuzo kwenye African Golden Awards, 2025

Katika kitengo cha wimbo bora wa mwaka, Extra Pressure ya Bien na Bensoul itamenyana na Mwaki ya Sofiya Nzau miongoni mwa ngoma zingine.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki11 March 2025 - 16:47

Muhtasari


  • Katika kitengo cha wimbo bora wa mwaka, Extra Pressure ya Bien na Bensoul itamenyana na Mwaki ya Sofiya Nzau miongoni mwa ngoma zingine.
  • Khaligraph Jones na Breeder LW watamenyana na wenzao kutoka mataifa mengine katika kitengo cha msanii bora wa HipHop.
  • Willy Paul na Bensoul wameteuliwa kushindana na wenzao kutoka mataifa mengine kitengo cha mtumbuizaji bora wa mubashara.

Wasanii wa Kenya katika vitengo mbalimbali kwenye tuzo za African Golden Awards.

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved