logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Uganda, China na nchi zingine ambazo zimezuia matumizi ya mtandao wa Facebook

Januari 2021, Rais wa Uganda Yoweri Museveni alipiga marufuku Facebook na mitandao mingine ya kijamii siku chache kuelekea uchaguzi wa urais.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki27 March 2025 - 16:54

Muhtasari


  • Januari 2021, Rais wa Uganda Yoweri Museveni alipiga marufuku Facebook na mitandao mingine ya kijamii siku chache kuelekea uchaguzi wa urais.
  • Akihutubia taifa mjini Kampala, Museveni alishutumu Facebook kwa kuwa na kiburi.
  • Mataifa mengine ambayo yamefungia Facebook kuhudumu katika nchi zao ni pamoja na China (2009), Urusi (2022), Iran (2009), Korea Kaskazini (2016) na sasa Papua New Guinea (2025).


Mataifa ambayo yamefungia Facebook

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved