logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Magenge hatari ya wahalifu yanayowahangaisha wananchi Maeneo mbalimbali Kenya

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa cha utafiti wa uhalifu, NCRC, kuna Vikundi vya uhalifu 309 kote nchini Kenya.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki17 April 2025 - 15:33

Muhtasari


  • Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa cha utafiti wa uhalifu, NCRC, kuna Vikundi vya uhalifu 309 kote nchini Kenya.
  • Utafiti huo ulibaini kwamba ushawishi wa kirika, umaskini, ukosefu wa ajira, kiwango kidogo cha elimu na matumizi ya mihadarati ndizo sababu zinazowavutia vijana kati ya miaka 18-34 kujiingiza kwenye uhalifu.
  • Mombasa inaongoza kwa magenge 73 ikifuatwa na Nairobi yenye magenge 56 na Kilifi ikiwa na magenge 47.
  • Baadhi ya magenge hayo ni Gaza linalowahangaisha watu wa Nairobi na Machakos, Mungiki linalohangaisha Nairobi na Kiambu, Confirm linalohangaisha Nakuru, Katalang linalohangaisha Kisumu na Panga Boy wanaohangaisha Mombasa, Kilifi na Kwale.

Magenge yanayohangaisha watu nchini Kenya//HILLARY BETT

 

 

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved